News

Hatimaye Bunge, lililo moja ya mihimili minne ya Taifa likiwa na wabunge wanaopaswa kuwawakilisha wananchi, akiwemo huyu ...
Zimetimia siku 170, tangu Freeman Mbowe alipowekwa kando kwenye uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ...
Dar es Salaam. Tanzania imezindua mfuko wa kwanza wa uwekezaji wa sarafu ya Dola (iDollar), ukitajwa kuwa hatua muhimu katika ...
Takriban watu milioni 7.4 wanatarajiwa kufikiwa kupitia mpango wa uchunguzi wa awali wa magonjwa ya saratani katika nchi za ...
Serikali imezitaka hospitali za kanda kote nchini kuanzisha huduma za afya za kimataifa ili kuvutia watalii wanaoingia nchini ...
Usiri umetawala wa kinachoendelea ndani ya vikao vya Kamati za Siasa za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ngazi ya mikoa ...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametembelea na kukagua maboresho yaliyofanyika katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu na kutoa ...
Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imeweka lengo la kuwafikia Watanzania milioni tano kutoka makundi maalumu ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeendelea na kampeni ya ukaguzi wa magari ya shule yanayotumika kusafirisha wanafunzi, ...
Benki ya NMB kwa kushirikiana na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), wamezindua ushirikiano wa kimkakati na wa kidijitali ...
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salumu Mwalimu amesema namna pekee ya kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM ...
Mazingira ya asili ya viumbe hao yanazidi kuharibiwa kwa kasi, hali inayotishia maisha yao na maisha ya binadamu ...