资讯

Lundenga aliyekuwa mkurugenzi wa Lino Internation Agency, waandaaji wa Miss Tanzania tangu 1994 hadi 2018 amefariki jana ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Polisi wa eneo la Kigezi, Elly Maate mwili wa Kiconco umepelekwa Hospitali ya ...
Miili hiyo iliwasili katika viwanja hivyo kuanzia saa 5:00 asubuhi kwa ajili ya shughuli ya pamoja ya kuuaga, kutokana na ...
Leo nataka kufanya tafakuri kuhusu uwezo wa wahitimu wetu kutambua na kuheshimu mawazo tofauti ya watu wengine.
Kwa kuwapa watoto aina hizi za stadi, kutawafanya kuhisi kuwa na uwezo zaidi katika kazi zao za kila siku na wana uwezekano ...
Hii si mara ya kwanza kwa ofisi ya CAG kuonyesha namna Serikali inavyosuasua kugharimia sera ya elimu inayotajwa kuwa ...
Boston Marathon 2025 imeacha alama ya kipekee, ikiwakutanisha wakimbiaji kutoka mataifa mbalimbali na kushuhudia rekodi mpya zikivunjwaikiweka historia ya michezo katika kumbukumbu za dunia.
Huu ni msimu wa kwanza kwa Clement Mzize kufunga zaidi ya mabao 10 kwenye msimu mmoja wa Ligi Kuu tangu alipoanza kuichezea ...
Viongozi mbalimbali pamoja na watu mashuhuri duniani wameendelea kuomboleza msiba wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa ...
Wachimbaji watatu wa dhahabu katika Kijiji cha Mwabomba, Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya ...
Shinyanga. Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Msinyori Liberatus Sangu ameeleza kwa masikitiko namna anavyomuenzi na kumkumbuka Papa Francis. Akizungumza na waandishi wa habari ...
Mawaziri wanaosubiriwa ni Mohamed Mchengerwa (Tamisemi), George Simbachawene (Utumishi na Utawala Bora), Profesa Kitila ...