Dodoma. Serikali ya Tanzania imeanza kufuatilia utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na mkaa kwa taasisi za umma na binafsi zinazoandaa chakula na kulisha watu zaidi ya 100. Kauli ...
Naibu Spika wa Bunge, Musa Zungu ameitaka Serikali kufuatilia malalamiko ya vikundi vinavyoomba mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana na wenye ulemavu kuwa hawatendewi haki na baadhi ...
Mwili wa Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Nicodemus Banduka (80) ambaye utazikwa leo Jumatano Februari 12, 2025 katika makaburi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika ...
NA leo tena. Mechi za mchujo za Ligi ya Mabingwa Ulaya za kuwania tiketi ya kucheza kwenye mtoano wa hatua ya 16 bora zinapigwa usiku wa leo Jumatano, huku mashabiki wa mikikimikiki ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira akizungumza na wafuasi wa chama hicho katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza. Picha na Mgongo Kaitira. Makamu Mwenyekiti wa ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Jumatano Februari 12, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili Meya ...