Umbali kutoka Bukavu mpaka Goma, kwa barabara ni kilometa 193.9. Ni miji mwili, mmoja upo ncha ya Kusini ya Ziwa Kivu na mwingine ncha ya Kaskazini. Bukavu ni Kusini na Goma Kaskazini. Miji ...
Bunge limeitaka Serikali ifanye tathmini na uhakiki wa huduma zinazotolewa na kila mtumishi katika ofisi ya ardhi jijini Dodoma, ili kuchukua hatua za kinidhamu kwa watumishi wasio waaminifu.
Serikali imesema kuwa inatarajia kuwa na mashahidi 12, watakaotoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha binadamu kimagendo, inayomkabili raia ya Ufaransa, Michael Mroivili.
Wengi walimfahamu kutokana na namna alivyokuwa akiuvaa uhusika wa uchungaji katika filamu alizocheza. Biblia mkononi, kukemea na kuondoa mapepo kwa sana ndivyo alivyokuwa akifanya ...
Mwanza. Serikali ya Marekani imepanga kupunguza idadi ya wafanyakazi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kutoka zaidi ya 10,000 hadi 294, hatua inayotarajiwa kuathiri shughuli zake duniani ...