资讯

Huu ni msimu wa kwanza kwa Clement Mzize kufunga zaidi ya mabao 10 kwenye msimu mmoja wa Ligi Kuu tangu alipoanza kuichezea ...
Wachimbaji watatu wa dhahabu katika Kijiji cha Mwabomba, Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya ...
Mawaziri wanaosubiriwa ni Mohamed Mchengerwa (Tamisemi), George Simbachawene (Utumishi na Utawala Bora), Profesa Kitila ...
Kwa kuliona hilo wadau mbalimbali wamekuwa wakijitokeza kuwasaidia wasichana hao ili waweze kufikia ndoto zao. Mafunzo ya ...
Sehemu kubwa ya maziko ya papa huwa anayapanga mwenyewe na kumwachia Kardinali Carmelengo jukumu la kutekeleza.
Tukio hilo limesababisha zaidi ya maeneo 14 yameathiriwa kwa kukosa umeme wakati Shirika la Umeme Zanzibar likiendelea na ...
Baadhi ya makundi hayo yamesisitiza yapo mambo yanapaswa kufanyiwa kazi kwani uwepo wa uchaguzi huru na haki wanaonufaika ni ...
Wakati Jeshi la Polisi mkoani Mbeya likiendelea na operesheni maalumu kupambana na kudhibiti uhalifu, limekamata shehena ya ...
Rome, Italia. Huenda tukamshuhudia Papa wa kwanza mweusi au kutoka bara la Afrika, au huenda akachaguliwa yule Kardinali ...
Imeelezwa kuwa uwepo wa vijana waliokosa maadili mema ndani ya jamii kunasababishwa na wazazi wao kushindwa kusimamia malezi ...
Katika video hiyo iliyoanza kusambaa usiku wa kuamkia jana Jumapili ya Pasaka, Aprili 20, 2025 ameonekana msichana ambaye ...
Papa Francisko amefariki akiwa na miaka 88 kwenye nyumba ya mtakatifu Marta, ambako ni makazi yake, Makao Makuu ya Kanisa ...