资讯

DAR ES SALAAM: Michuano ya kuogelea ya Klabu Bingwa Taifa imeanza leo kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya ...
KIGOMA: MKUU wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye amesema uwepo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni kielelezo ...
BENKI ya Stanbic imemkabidhi gari Mtanzania Edwin Shayo aina ya Suzuki Fronx baada ya kushinda kampeni ya Tap Kibingwa.
DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema inaunga mkono bunifu mbalimbali za afya zinazofanyika Chuo Kikuu na Sanyansi Shirikishi ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa Kigoma kimesema kuwa Samia Teachers Mobile Clinic itasaidia kumaliza changamoto mbalimbali ...
WAANDAAJI wa Tuzo za Muziki wa Injili (TGMA) wamesema wametiwa moyo na muitiko wa wasanii wa muziki wa injili nchini kwa ...
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemedi Abdulla amewaomba watanzania kuwaombea viongozi wa serikali zote mbili ...
TAKRIBANI nusu ya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano wamedumaa mkoani Rukwa huku kiwango cha udumavu ni asilimia 48.9 ...
MWENYEKITI wa Taasisi ya Islaah Islamic, Dk. Seif Sule maarufu kama Dk. Sule ametoa wito kwa Watanzania kuhakikisha wanalinda ...
MOROGORO: SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 30 kukarabati barabara muhimu ...
Viongozi wa dini nchini wametakiwa kuepuka kuingilia siasa kwa namna yoyote, badala yake wajitahidi kuwa daraja la ...
WENYEVITI wa vijiji vya Mtukula, Byeju, Nkerenge vilivyopo Kata Mtukula, Wilaya ya Missenyi wameishukuru serikali kwa kuona ...