Umoja wa Mataifa umetoa wito wa dharura wa kuchangisha dola milioni 11.2 kusaidia Uganda kukabiliana na mlipuko wa Ebola ...
Mgonjwa wa pili wa Ebola, mtoto wa miaka 4, amefariki nchini Uganda, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema, likinukuu wizara ...
Donald Trump amesema anafikiria kuweka vikwazo na ushuru mpya dhidi ya Urusi, kufuatia mashambulizi makali ya usiku dhidi ya ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Afya, Jenista Mhagama imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera. Kupitia ...
Aidha amesema Serikali imeendelea kutoa elimu juu ya dalili, madhara pamoja na njia za kujikinga. Pia, amekumbusha kuwa, nchi inaendelea kukabiliwa na tishio la magonjwa mengine ikiwemo ebola na homa ...