Mlipuko wa Ebola nchini Uganda unaonekana kuwa mgumu zaidi kukabiliana nao kuliko milipuko ya hivi karibuni, lakini Rais Yoweri Museveni amekataa wito wa kuweka karantini maeneo yaliyoathirika zaidi.
Mgonjwa wa pili wa Ebola, mtoto wa miaka 4, amefariki nchini Uganda, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema, likinukuu wizara ...
maafisa ncini Uganda wanasema msichana wa miaka 9 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo aliyethibitishwa kuwa na virusi vya Ebola Alhamisi amefariki Uganda akipokea matibabu. Maafisa wanaeleza ...
Mgonjwa wa pili wa Ebola, mtoto wa miaka minne, alifariki wiki iliyopita, limesema Shirika la Afya duniani, likinukuu wizara ya afya ya nchi hiyo. Wagonjwa 10 waliothibitishwa nchini Uganda ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果