Licha ya kukaa miaka zaidi ya minane bila kutoa kazi mpya, bado nyimbo za Shaa zilizompatia umaarufu zinaendelea ...
TABIA Mwanjelwa, ni mmoja wa waimbaji wa kike wa mwanzo kabisa nchini Tanzania, ambeye amefariki dunia nchini Ujerumani, ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya miaka 35 tangu alipoondoka ...
Mahaba ni wimbo uliotengenezwa na Yogo Beats ambaye alishiriki pakubwa katika albamu ya tatu ya Alikiba, Only One King (2021) iliyoshinda Tuzo za Muziki Tanzania (TMA ... ya kumalizika kwa mkataba ...
Na hizi zote mbili, hazina uhusiano na hali ya sasa Mashariki mwa DRC. Ingati pia picha zimehaririwa, hebu fafanua hilo. Utofauti unaoweza kuonekana, sehemu ya vídeo ina muhuri wa wafanyakazi wa ...
Dar es Salaam. Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of ...
Msemaji wa wizara hiyo ameliambia shirika la habari la AFP kuwa "Kutokana na hali ya sasa ya kuongezeka mgogoro, mambo hayawezi kuendelea kama kawaida,". Amesema mazungumzo yanaweza tu kuanza tena ...
Jumuiya ya Shia Imami Ismaili nchini Tanzania imezindua Fanoos katika Jamatkhana ya kihistoria ya Upanga, hafla iliyokuwa sehemu ya mpango wa Global Encounters. Fanoos, taa ya mfano inayowakilisha ...
(Nairobi) – Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kisheria ... Maafisa wa shule hawana uelewa wa kutosha wa maagizo ya sasa ya wizara ya kusaidia wasichana kurudi shuleni, au hutumia mamlaka ...
DAR ES SALAAM: AZIMIO la kuwaunganishia umeme Waafrika milioni 300 linatarajiwa kusainiwa nchini kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ‘Mission 300’ unaoendelea leo na kesho Januari 28 ...
bali pia kuchunguza hali ya sasa na kutazama mustakabali. Katika muktadha wa kuongezeka kwa kauli za chuki, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayahudi mitaani na mtandaoni, Türk amesema ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuvunja na kuandika rekodi ya kuwa Rais aliyepokea idadi kubwa ya Wakuu wa Nchi 25 kuhudhuria nchini kwa pamoja tokea Tanzania izaliwe. Waziri wa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果