资讯
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kati ya mwaka 2006 na 2011, Balozi Juma Volter Mwapachu, amefariki dunia jana Machi 28, 2025, jijini Dar es Salaam. Licha ya kushika ...
“Katika siasa kujieleza ni sehemu ya chakula chake, hivyo ni muhimu kwa watu kuelewa na kuvumiliana. Hii haimaanishi kuwa kauli zisizo za staha zikubalike, bali kuna haja ya tahadhari na busara katika ...
Morogoro. Waluguru ni kabila kuu katika Mkoa wa Morogoro. Wanawake wa Kiluguru wametofautiana kulingana na mazingira ya maeneo wanakotoka, ambapo wanaotoka Mgeta wilayani Mvomero wanaonekana kuwa ...
Mtoto mmoja alibakwa katika kila nusu saa huko Mashariki mwa Jamhuri ya ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wakati mapigano yaliposhika kasi mwanzoni mwa mwaka huu kati ya jeshi la serikali FARDC na waasi ...
Tangazo hilo linakuja kabla ya ziara yake Mashariki ya Kati. Subianto alitoa taarifa ikisema kuwa nchi iko tayari kusafirisha watu waliojeruhiwa na watoto mayatima kutoka Gaza wanaotaka kuhamishwa.
Na katika hatua inayotazamiwa kuzidisha hali ya taharuki, hapo jana chama chake kilisema kinamteua Stephen Par Kuol kuwa kaimu mwenyekiti wa SPLM –IO kwa muda wakati Machar akiwa bado ...
Katika barua iliyoonwa na idhaa ya RFI, rais Kabila amesema baada ya kuwa nje ya nchi yake kwa miaka 6, anaamini muda umefika wa yeye kurejea nyumbani haraka kwa kuzingatika yanayoendelea.
Wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu mnamo Aprili 7 yaliyodumu dakika 25, Ishiba na Trump walikubaliana kuwa watateua mawaziri watakaosimamia mazungumzo na kuendelea na majadiliano. Ishiba ...
Tofauti na shangazi yake, ambaye hakuweza kuendelea na elimu yake kutokana na kukosa karo, yeye anasoma elimu ya sekondari sasa ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mwandishi wa habari. Yote ...
FRANFURT, UJERUMANI: MSHAMBULIAJI wa Eintracht Frankfurt, Hugo Ekitike ameziweka njiapanda timu kubwa England zinazohitaji saini yake dirisha ljalo. Saini ya nyota huyu wa kimataifa wa Ufaransa ambaye ...
Taasisi hiyo pia imesema kuwa wachimbaji hao hawana elimu ya kutosha ya kujua teknolojia mbalimbali za uchenjuaji wa madini na hivyo hujikuta wakipoteza thamani ya madini hayo kwa kutumia kemikali ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果