Wakati Kiingereza kimekuwa lugha rasmi nchini Tanzania, Kenya na Uganda kwa zaidi ya miaka 60 sasa, nchini Marekani, ni tarehe 1 Machi tu ndio lugha hiyo ilifanywa kuwa rasmi. Hiyo ni baada ya ...
Uchunguzi wa ripoti hiyo ulibaini kuwa mnamo mwaka 2024 mifumo ile ile ya ukiukwaji mkubwa katika maeneo yale yale, mara nyingi inahusisha ofisi zile zile za umma na za kijeshi. Na Asha Juma ...
“Nimekuwa dereva kwa miaka zaidi ya 25 na nikiwa na UNICEF nina miaka 10.” Anasema Fatuma Akieleza kuwa kazi yake anaipenda sana na baada ya kufanya kazi na makampuni mengi aliona afanye kazi na ...
EU kuendelea kuwa mbia wa uhakika wa UN Ushirikiano wa kimataifa ndio muarobaini wa changamoto duniani Vita Ukraine itaisha iwapo Urusi itaondoa majeshi yake Haki za wanawake ni msingi wa demokrasia ...
Serikali ya mpito ya Syria inasema vikosi vya Kikurdi katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo vimekubali kuwa chini ya udhibiti wa serikali. Serikali inasema kuwa makubaliano hayo ...
“Nilikuwa nikifanya kazi wiki nzima na bado nilikuwa napata kama dola 250 tu.” Akiwa na uhitaji wa pesa zaidi, alihamia kufanya kazi katika klabu ya usiku kabla ya kuwa mmoja wa marapa wa kike ...
Mwenyezi Mungu awabariki. Jamii nyingi zimekuwa zikimthamini mtoto wa kiume na kumpa hadhi kubwa na kusahau kuwa anahitaji mafunzo yatakayomsaidia kuwa bora katika jamii, kwenye kanisa na Taifa kwa ...
Kama ilivyotarajiwa, Patrice Motsepe amechaguliwa tena kuwa rais, Samuel Eto'o amejiunga na kamati ya utendaji na Mmauritania Ahmed Yahya amejiunga na Baraza la FIFA. Kwa upande mwingine ...
RAIS Samia Suluhu amesema suala la kupigania usawa wa kijinsia haliwezi kufanyika katika majukumu ya asili katika uumbaji na kuomba kusaidiana kati ya wanaume na wanawake. Akizungumza na wananchi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果