Serikali ya mpito ya Syria inasema vikosi vya Kikurdi katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo vimekubali kuwa chini ya udhibiti wa serikali. Serikali inasema kuwa makubaliano hayo ...
Watu wanao changia damu mara kwa mara wana uwezekano mkubwa wa kuwa na mabadiliko ya (jeni) vinasaba katika damu yao, mabadiliko ambayo yanaweza kupunguza hatari ya kupata saratani, unaeleza utafiti.
Maadamu kongosho inatoa insulini ya kutosha kukabiliana na mwitikio wa seli dhaifu, viwango vya sukari ya kwenye damu hubaki kuwa katika viwango vinavyotakikana, yaani sio juu wala chini.
Kama ilivyotarajiwa, Patrice Motsepe amechaguliwa tena kuwa rais, Samuel Eto'o amejiunga na kamati ya utendaji na Mmauritania Ahmed Yahya amejiunga na Baraza la FIFA. Kwa upande mwingine ...
Huang Xiaowei, Katibu wa Shirikisho la Wanawake la China, katika majadiliano hayo amebainisha kuwa mabadiliko makubwa katika mandhari ya uchumi wa kimataifa yanasababishwa na maendeleo ya kiteknolojia ...
RAIS Samia Suluhu amesema suala la kupigania usawa wa kijinsia haliwezi kufanyika katika majukumu ya asili katika uumbaji na kuomba kusaidiana kati ya wanaume na wanawake. Akizungumza na wananchi ...