SERIKALI imesema kwa sasa haijaingia makubaliano na mwekezaji yeyote kwa ajili ya kujenga na kuendesha Bandari ya Bagamoyo. Pia serikali imesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa imeingia ...