WANANCHI wa Kata ya Lukobe, Manispaa ya Morogoro, wameiomba serikali kuona umuhimu wa kujenga barabara ya Kilombero-Mazimbu Farm kwa viwango bora, ili kukabiliana na changamoto ya kujaa maji. Wamesema ...
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa Kata ya Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita Amesema kujengwa kwa ukumbi huo kutasaidia wanafunzi kuwa na sehemu nzuri na salama ya kukusanyika kwa ...
MTENDAJI wa Kata Suguti Wilaya ya Musoma mkoani Mara, Boniface Dinda ameongoza wakazi wa kijiji hicho kuchimba msingi kwa ajili ya ujenzi wa majiko na stoo katika Shule za Msingi Suguti A na Suguti B.
Ofisa Tarafa wa kata ya Busanda, Fred Muhagama amesema kwa kushirikiana na viongozi wa vitongoji, vijiji na kata wanasimamia kuhakikisha uwekezaji unafanyika bila kuathiri haki ya wananchi wa kawaida.
Msemo huu unathibitishwa na wakazi wa mitaa ya Bochela, Mtube, Mnyakongo, na Salama, Kata ya Nkhungu, Dodoma, ambao kwa miaka minne mfululizo wanalazimika kuhama makazi yao kwa miezi isiyopungua minne ...