Kabla ya hapo, tayari ameanzisha mfululizo wa ushuru kwa uagizaji wa chuma, alumini, magari pamoja na bidhaa zote kutoka China. Trump anasema – kwa hatua hizi ambazo zinazifanya bidhaa za kigeni ...
Ijumaa ya April 4, 2025, Mahakama ya Kikatiba ya Korea Kusini iliamua kuwa Rais Yoon Suk Yeol alitumia vibaya mamlaka kwa kutangaza sheria ya kijeshi mwezi Desemba, na hivyo akafutwa kazi rasmi ...