Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao.
Tayari nimeshajaribu baadhi ya vyakula vya Kitanzania kama nyama choma na ugali hivyo jukwaa hili litatuwezesha kupata uzoefu ambao Tanzania inayo katika Utalii wa Vyakula” amesema,” Grandcourt.