Ulikuwa na lengo la kuhakikisha upatikanaji, uendelevu na manufaa ya kiuchumi kwa wananchi milioni 300 wa Afrika. Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ambaye katika mjumuiko huo ...
Jumuiya ya Shia Imami Ismaili nchini Tanzania imezindua Fanoos katika Jamatkhana ya kihistoria ya Upanga, hafla iliyokuwa sehemu ya mpango wa Global Encounters. Fanoos, taa ya mfano inayowakilisha ...
(Nairobi) – Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kisheria na kisera za kutosha zinazohitajika katika kulinda haki ya wasichana wajawazito na wamama vijana ya kupata elimu na kurekebisha ...
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amesema mataifa ya Afrika yanapaswa kuuangalia ushirikiano wa China na Tanzania kama mfano wa maendeleo, ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (World Food Programme -WFP) limesema litaendeleza ushirikiano na Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico) katika eneo la usafirisaji wa shehena ya ...
uwanja mpya wa Talanta jijini Nairobi unaendelea kupiga hatua kwenye ujenzi huku ligi ya Tanzania ikitajwa nafasi ya nne katika orodha ya ligi bora Afrika, Kenya yang'ara mashindano ya chipukizi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果