Waziri wa Afya, Jenista Mhagama. Na WAF – Malawi Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Makumi ya madereva wa Lori wamekwama nchini DRC baada ya waasi wa M23 kuteka sehemu ya mji mkuu wa Goma na kusababisha barabara kuu kufungwa. Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda amezungumza na ...
SERIKALI ya Tanzania imesema itaendelea kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji na nchi za Umoja wa Ulaya (EU). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alisema hayo katika ofisi ndogo ya ...
(Nairobi) – Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kisheria na kisera za kutosha zinazohitajika katika kulinda haki ya wasichana wajawazito na wamama vijana ya kupata elimu na kurekebisha ...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, Ofisi ya Kanda ya Afrika Mashariki (UNODC ROEA), imejipanga kuendelea kuimarisha ...
SERIKALI ya Tanzania na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, Ofisi ya Kanda ya Afrika Mashariki (UNODC ROEA), imejipanga kuendelea kuimarisha ushirikiano katika ...
Jumuiya ya Shia Imami Ismaili nchini Tanzania imezindua Fanoos katika Jamatkhana ya kihistoria ya Upanga, hafla iliyokuwa sehemu ya mpango wa Global Encounters. Fanoos, taa ya mfano inayowakilisha ...
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amesema mataifa ya Afrika yanapaswa kuuangalia ushirikiano wa China na Tanzania kama mfano wa maendeleo, ...
Akizungumza Februari 18, 2025, jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha wadau wa zao la ngano, Mkurugenzi Mkuu wa COPRA, Irene Mlola, alisema kuwa sekta ya kilimo inakabiliwa na changamoto ya ...
Utakumbuka Queen akitokea kanda ya Dar es Salaam alitwaa taji la Miss Tanzania akiwa na umri wa miaka miaka 22 na kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Miss World 2018 yaliyofanyika nchini China.
uwanja mpya wa Talanta jijini Nairobi unaendelea kupiga hatua kwenye ujenzi huku ligi ya Tanzania ikitajwa nafasi ya nne katika orodha ya ligi bora Afrika, Kenya yang'ara mashindano ya chipukizi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果