Katika kukuza na kuwaendeleza wabunifu wa kidijitali na wajasirimali, vinajengwa vituo 10 vya bunifu nchini vitakavyogharimu Sh15 bilioni.