Picha na Rajabu Athumani Tanga. Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) imeidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo matatu ya uchaguzi ya Kilindi, Muheza, na Handeni Vijijini, kuwa na majimbo mawili ...