资讯

Ikiwa ni 'Ruto Must Go' Niambieni jinsi mnavyotaka niende - Rais wa Kenya Rais wa Kenya William Ruto amepuzilia mbali wito ambao umekuwa ukitolewa na viongozi wa upinzani kumtaka ajiuzulu, na ...
Tanga. Kuna usemi unaosema ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, hiki ndicho kilichomuumbua raia wa Kenya, Mbaraka Mbaraka aliyekuwa anapinga kufukuzwa akidai ni Mtanzania, akasahau kuna mahali alikiri ni ...
Kesi ya ugaidi inayomkabili Mchungaji Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake 94 inaanza nchini Kenya leo Jumatatu Julai 8, 2024 huko Mombasa. Hiki ni kipengele kimojawapo cha mauaji ya Shakahola ...
Jiji la Mombasa,ni jiji muhimu la kihistoria nchini Kenya ambapo utawala wa Kikoloni ulianzia ,ukiwa ni jiji kuu hadi mwaka wa 1906 .Ulishuhudia utawala wa Sultana,Wareno ,Waomani na hatimaye wa ...
Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano kati kati ya miji ya Nairobi, Kisumu na Mombasa kwa sababu ya usalama wa wananchi na mali. Akiongea na wanahabari, Waziri wa Usalama Fred Matiangi ...