Imebainika kuwa, tangu kuondolewa kwake madarakani, Bazoum na mkewe Hadiza wameendelea kuzuiwa katika makaazi ya rais jijini Niamey bila sababu muhimu. Watalaam wa Umoja wa Mataifa wanasema ...
Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo ...
Maelezo ya picha, Mfanyakazi wa kigeni akipungia mkono, baada ya kuachiwa huru na moja ya vituo vya utapeli alichokuwa akifanya kazi kwenye mpaka wa Thailand na Myanmar 13 Februari 2025 Zaidi ya ...
Ripoti hii inaangalia hali ya haki za binadamu katika zaidi ya mataifa 100, ikiwa ni pamoja na nchi 25 barani Afrika. Mkuu wa HRW kwa Afrika, Mausi Segun, alisema kuwa mwaka 2024 ulishuhudia ...
Baada ya kuchelewesha kuanza kwa utekelezaji wa usitishaji vita kwa saa kadhaa, kundi la Wapalestina la Hamas limetoa majina ya mateka watatu wa Israel wanaopaswa kuachiliwa leo. Hamas siku ya ...
Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa kuongezeka barabarani na kwa Kenya, mradi wa Tusonge na EVs , unaosimamiwa na shirika la umoja wa mataifa la mazingira, UNEP, ulizinduliwa miezi tisa iliyopita.
TANZANIA imepata ugeni mkubwa wa zaidi ya marais 25, Mawaziri Wakuu na Manaibu Mawaziri Wakuu, Mawaziri wa Fedha na Nishati 60 wa Afrika, ambao wako nchini kushiriki mkutano wa Nishati wa Mission 300.
Serengeti. Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) limeanza matengenezo makubwa ya barabara muhimu inayotumiwa na watalii kuanzia Seronera hadi Robo. Aidha imeanza kukarabati uwanja wa ndege wa Seronera ...
2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa. Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed jijini Dar es ...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mwanaidi Ali Khamisi akizungumza wakati akijibu maswali bungeni leo, Februari 3, 2025 jijini Dodoma. Dodoma. Mbunge wa Viti ...
Israel imewazuia maelfu ya Wapalestina kurejea katika makazi yao Kaskazini mwa Gaza kupitia njia ya Netzarim inayotenganisha pande mbili za ukanda huo. Israel imefanya hivyo ikiliishutumu kundi la ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果