Mwanzilishi na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Slums Foundation lililoko mji mkuu wa Kenya, Nairobi, naye anashiriki mkutano huu wa CSW69. Mshiriki huyu ameueleza Sharon Jebichii wa Idhaa hii ...