资讯

Serikali ya Sweden na Tanzania zimeingia mkataba wa miaka mitano kuanzia 2025 hadi 2029, lengo likiwa ni kuimarisha tafiti za ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Mvungi, lililopata ajali na kusababisha vifo ...
Na Mwandishi Wetu Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepata tuzo ya ushindi wa utoaji wa huduma bora za afya kwa mwaka 2025 katika kundi ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Jeshi la Polisi usalama barabarani kuendelea kusimamia sheria kwa makini ili kuepuka ajali ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amesema ujenzi wa Daraja la Muhoro utaleta ukombozi kwa wananchi wa Kata ya Muhoro, ambao kwa muda mrefu wamekumbwa na changamoto za usafiri ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limesema linaendelea kutafi ti uwezo wa kuoza mifuko mbadala. Mkurugenzi Mkuu NEMC, Dk Immaculate Sware Semesi amesema hayo Dodona wakati ...
气候的变化对小麦秆锈病的发生和严重程度有着至关重要的影响。在全球范围内,气候的波动,如温度的升降、降水模式的改变以及湿度的变化,都在深刻地影响着小麦秆锈病的流行。在坦桑尼亚,尽管气候因素对小麦秆锈病的影响至关重要,但相关的本地化研究却十分匮乏。过往大多数研究聚焦于更广泛的区域或全球趋势,难以精准地反映坦桑尼亚独特的农业生态环境。为了填补这一空白,来自纳尔逊?曼德拉非洲科技研究所(Nelson ...