资讯

Mahakama ya Rufani imemuachia huru, Shauri Vungwa aliyekuwa amehukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela na viboko 12, baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mke wake aliyekuwa na umri wa miaka 46.
“Vyama vingi ni sawa na kwaya zinazoimba, kila mtu aimbe wimbo wake mzuri na mtu achague aende anakotaka, hatulazimishi watu kwenda wasipotaka. Wimbo mzuri ndio unaovutia watu na waje ...