Idadi ya watu waliokimbia makazi yao duniani kote kwa sasa inafikia milioni 122.6, DRC imesema. Ili kuonyesha maudhui haya X (Twitter) maudhui, unahitaji kuidhinisha kipimo cha hadhira na vidakuzi ...
Mkufunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori, Mweka, Bwana Tito Lanoy, akimdhibiti nyoka aina ya Koboko wa Kijani (Green Mamba) na kisha kumpeleka mbali na makazi ya watu ili asilete madhara. Green ...
Russell. Tangu vita vilipozuka Aprili 2023 makumi ya maelfu ya raia wameuawa na zaidi ya milioni 12 wamelazimika kukimbia makazi yao, takriban milioni 3.5 wakiwa wakimbizi katika nchi jirani. Ardhi ...
Kutokana na ghasia hizo, MSF ililazimika kuacha shughuli zake zote mwezi uliopita katika kambi ya watu waliokimbia makazi yao ya Zamzam, ambayo inayokumbwa na njaa. Inatokea sasa hivi ...
Ambapo Dk Saada ameeleza kuwa baada ya ukaguzi wamebaini kuendesha biashara za baa, muziki na kumbi za starehe katika eneo lisiloruhusiwa kwa mujibu wa sheria za Zanzibar kutokana na kuwa katikati ya ...
Alishika wadhifa huo mwaka 1975 akiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Baadaye alihamishiwa Wizara ya Elimu akishika wadhifa wa Waziri. Aliapishwa na Mwalimu Nyerere kushika wadhifa huo ...