资讯
Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Amend Tanzania, imezindua rasmi awamu ya pili ya kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’, mpango wa kimkakati wa usalama barabarani ...
Mashirika hayo yametelekeza jumla ya miradi 405 iliyochangia upatikanaji wa huduma za kijamii ikiwemo afya, elimu, utunzaji wa mazingira, haki za binadamu na utawala bora kwa gharama ya shilingi ...
Eneo la Mashariki ya DRC limekabiliwa na miongo kadhaa ya migogoro, lakini mvutano umeongezeka katika miezi ya hivi karibuni kutokana na kusonga mbele kwa kundi la waasi wa M23 ambalo jumuiya ya ...
Simba SC ilipindua matokeo ya kipigo cha 2-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Al Masry kwa ushindi wa 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, na baadaye kushinda kwa mikwaju ya ...
Taarifa iliyotolewa kwa umma leo Jumatano, Aprili 9, 2025 na Wizara ya Afya imeonyesha NM-AIST iliibuka kuwa mshindi wa kwanza kwa kupata asilimia 93.3 ya alama zote. Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine ...
“Tunaingia katika jamii kwa nyanja tofauti kama kilimo, mifugo, elimu, afya, maji na usafi wa mazingira, pamoja na rasilimali za asili. Katika nyanja hizi zote, kuna miradi mbalimbali ambayo ...
Mwamposa aje kufanya nini uwanjani? Sijui. Labda kuiombea timu. Sawa, hapo nitakubali. Na aanzie pale mbele kwa rafiki zetu wawili, Elie Mpanzu na Kibu Dennis. Kwa mbali kidogo anaweza kumwombea na ...
Shambulizi hilo limetokea wakati pande zote mbili hasimu wanamgambo wa Hamas na Israel wakithibitisha kupokea pendekezo jipya kutoka kwa wapatanishi likinuiwa kusitisha mashambulizi wakati wa siku ...
Waasi wa M23 wamekubaliana na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC, juu ya kuondoka kwa vikosi vyake kutoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Waasi wa M23 wamekubaliana na ...
EID EL -FITRI ni mojawapo ya sikukuu muhimu kwa Waislamu kote duniani. Huadhimishwa kila mwaka baada ya kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, kipindi ambacho Waislamu hufunga kwa siku 29 au 30 ...
Nenda kwenye ukurasa wa kwanza / Afrika Sudan Kusini: UN yaonya kuhusu kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe Makamu wa kwanza wa rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, ambaye ni hasimu wa muda ...
SAO PAULO, BRAZIL: SHIRIKISHO la Soka la Brazil limerudi tena mezani kuzungumza na wawakilishi wa kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kwa ajili ya kumtaka akawe kocha wao mkuu kuelekea Kombe la ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果