资讯

Mapigano makali yaliripotiwa Jumanne ya wiki hii katika eneo la Nyangezi lililoko umbali wa kilometa 20 kaskazini mwa mji wa ...
MOJA kati ya majina mapya katika orodha ya nyota wa Ligi ya Kikapu ya Marekani (NBA) wenye namba kubwa ni Jayson Tatum.
Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya ukubwa wa 7.7 katika kipimo cha richter limetokea Myanmar leo tarehe 28 Machi 2025 na kusababisha madhara yaliyoripotiwa hadi Bangkok, Thailand.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Dk Badr Abdelatty amesema Rais wa nchi hiyo Abdel Fattah al Sisi anashauku kushuhudia uzinduzi wa mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), ambalo ujenzi wake ...
MOGADISHU: Bomu lililotegwa kando ya barabara limelipuka jana nje ya kasri ya rais nchini Somalia, likilenga msafara wa rais. Taarifa kutoka Wizara ya Mawasiliano imesema shambulizi hili la kighaidi ...