Kwa mujibu wa taarifa ya CNBC, taifa jingine la Afrika linapangwa kuongoza juhudi za kurejesha mazungumzo ya amani.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linatoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa katika mitandao na picha mjongeo ikimwonesha mwananchi aitwae Mercy Daniel Mkazi wa Arusha ambaye ameeleza kupotea kwa mume ...
Moshi. Wananchi wa mji mdogo wa Himo, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro waliokuwa wakitembea umbali mrefu na kutumia gharama kubwa kufuata huduma ya X-Ray sasa imemalizika baada ya Serikali kupeleka ...