Muonekano wa Ziwa Rukwa kwa juu. Rukwa. Serikali inakusudia kununua boti maalumu ya kisasa kwa ajili ya shughuli za uokoaji wa wavuvi katika ukanda wa Ziwa Rukwa, hususan pale dhoruba kali ya upepo ...
Mdude Nyagali ambaye ni kada wa chama hicho anayeishi mkoani Songwe ameandika katika ukurasa wake wa X, akimzungumzia Sadrick Malila kutoka mkoani Rukwa aliyekatwa. “Huyu mzee amekuwa makamu ...