Hatua ya Arsenal ya kutolewa katika raundi ya tatu ya Kombe la FA dhidi ya Manchester United kwa mikwaju ya penalti, ilikuwa ni mwendelezo wa kichapo, baada ya kufungwa mabao 2-0 nyumbani na ...
Washtakiwa wanne, wanaokabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine na kutakatisha Sh5 milioni, wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Picha ...
Katika taarifa hiyo, kaimu mkuu wa Ofisi ya Usimamizi na Bajeti (OMB) anatoa wito kwa mashirika ya serikali kuhakikisha matumizi yanaendana na vipaumbele vya Trump. Athari ya usitishwaji huu bado ...
Geita. Wadau wa Mahakama Mkoa wa Geita wamesema licha ya uendeshaji wa Mahakama kwa njia ya mfumo wa teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) kuwa na tija, bado jamii ina uelewa mdogo kuhusu ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.