Uwekezaji duniani tangu mwaka 2000 katika mbinu za kusongesha uhai wa mtoto kumewezesha kupungua kwa zaidi ya asilimia 50 kwa vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya miaka mitano, ...
Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kote ulimwenguni wanawahudumia watu walio katika hali hatarishi, wakihatarisha usalama wao binafsi katika maeneo yenye migogoro na majanga. Wanakabiliwa na vitisho vya ...
Ngara. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) -Bara, Stephen Wasira, amesema ana taarifa za baadhi ya wanachama wanaotaka ubunge kuanza kuvunja maadili katika kipindi hiki cha kuelekea ...
Mjumbe maalum wa Rais Donald Tump katika eneo la mashariki ya kati – Steve whitaker, amesema kwamba Rais wa Marekani aljaribu kuzuia mzozo wa kijeshi dhidi ya Iran kwa kujenga uhusiano wenye ...
Mbeya. Wanandoa walio wengi wako hatarini kupatwa na magonjwa ya afya ya akili, wasiwasi na mfadhaiko na kuto kushirikiana tendo la ndoa kutokana na migogoro ya kifamilia isiyoisha. Hatua hiyo ...
Dawit, si jina lake halisi, ni kijana kutoka Ethiopia. Tunakutana naye kwenye bustani tulivu yenye kijani kibichi katika moja ya miji mikubwa ya Poland. Akiwa na aibu na akizungumza kwa sauti ya ...
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la John James (35), mfanyabiashara wa mkaa na mkazi wa Chanika, Dar es Salaam, anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) katika ...
Na Mohammed Ulongo Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la kuombea Amani na Uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025 amewataka wanasiasa kutotumia lugha zisizofaa katika majukwaa lengo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果