Je, dawa ya kupunguza maumivu ya gharama nafuu ya aspirini inaweza kuzuia kuenea kwa ugonjwa kama saratani? Wanasayansi wamegundua hivyo. Majaribio yaliyofanywa na wanasayansi kwa wanyama ...
Maafisa wa Marekani wameendelea kusema mara kwa mara kwamba wahamiaji wasio na vibali nchini humo wanapaswa kuondoka kwa hiari, badala ya kukamatwa na kufukuzwa. Hii ni hatua ya hivi punde zaidi ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa Mkoa wa Dar es Salaam, unaotarajiwa kuanza Machi 17 hadi 20. Mkoa huo ndio wa mwisho ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa kutoa wito wa kuchukua hatua kali kwa ajili ya usawa wa kijinsia, akionya kuwa haki za wanawake ...
Picha na Hadija Jumanne. Dar es Salaam. Wakazi 14 wa Ifakara mkoani Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 52 yakiwamo ya kujipatia fedha kwa njia ya ...
Kwa mujibu wa kanuni 17 (45) za Ligi Kuu Bara, timu mgeni ina haki ya kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi angalau mara moja kabla ya siku ya mechi katika muda tarajiwa wa mchezo husika.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果