Szabo anakadiria kuwa zaidi ya washindani 9 kati ya 10 katika Indigo Invitational, ambayo imeadhimisha mwaka wake wa nne mwezi Januari, walifua suruali zao kwa mara ya kwanza baada ya kuvaa mara ...
Brent Dmitruk anajiita mtabiri wa matetemeko ya ardhi. Mnamo katikati ya Oktoba, alieleza kwa wafuasi wake maelfu kadhaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba tetemeko la ardhi lingepiga sehemu ya ...
Dar es Saalam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa Shilingi ya Tanzania inatarajia kuimarika ifikapo mwishoni mwa mwaka huu kutokana na ongezeko la mapato ya fedha za kigeni linalotarajiwa kwa ...
Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa muda, hivyo kuwa kama mazoea. Mbali ya hilo, baadhi ya wanawake ...
Kwa WFP nako hali si hali kwani kupitia taarifa yake iliyotolewa leo huko Roma, Italia shirika hilo linaonya kwamba watu milioni 58 katika maeneo 28 yenye majanga duniani wako hatarini kukosa misaada ...
Kwa zaidi ya masaa mawili, Simba ilikosa kupata fumbuzi wa changamoto hiyo. Jumamosi mchana saa sita, bodi ya ligi ilitoa taarifa ya kuahirisha mechi huku ikidai kufanya uchunguzi zaidi kabla ya ...