Szabo anakadiria kuwa zaidi ya washindani 9 kati ya 10 katika Indigo Invitational, ambayo imeadhimisha mwaka wake wa nne mwezi Januari, walifua suruali zao kwa mara ya kwanza baada ya kuvaa mara ...
Kabla ya hapo, tayari ameanzisha mfululizo wa ushuru kwa uagizaji wa chuma, alumini, magari pamoja na bidhaa zote kutoka China. Trump anasema – kwa hatua hizi ambazo zinazifanya bidhaa za kigeni ...
Dar es Saalam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa Shilingi ya Tanzania inatarajia kuimarika ifikapo mwishoni mwa mwaka huu kutokana na ongezeko la mapato ya fedha za kigeni linalotarajiwa kwa ...
Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa muda, hivyo kuwa kama mazoea. Mbali ya hilo, baadhi ya wanawake ...