资讯

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira,amepokelewa kwa kishindo mkoani Shinyanga. Mapokezi hayo yamefanyika leo Machi 26,2025,wakati alipowasili mkoani humo kwa ...
Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Amend Tanzania, imezindua rasmi awamu ya pili ya kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’, mpango wa kimkakati wa usalama barabarani ...
Geita. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujifanya maofisa polisi na kuchukua kiasi cha Sh25,000 kutoka kwa mwananchi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Saphia Jongo ...
Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Zaiylissa amefunguka kwa mara ya kwanza huku akiweka wazi kwasasa hayupo kwenye ndoa na ameamua kupumzika kwanza. Zai ameyasema hayo mapema leo Aprili 12, 2025 mbele ya ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR leo limeonya kwamba ukosefu wa ufadhili unaweza kuhatarisha maendeleo yaliyopatikana ikiwemo kurejea nyumbani kwa mamilioni ya watu. Katika ...
Simba SC ilipindua matokeo ya kipigo cha 2-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Al Masry kwa ushindi wa 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, na baadaye kushinda kwa mikwaju ya ...
Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump ya Aprili 9 ilipunguza wasiwasi kuhusu kupungua kwa kasi ya ukuaji uchumi wa dunia. Kipimo cha hisa cha Nikkei 225 kilipanda kwa zaidi ya alama 2,800 au ...
Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kime wataka baadhi ya viongozi kuacha tabia ya kuwagombanisha Wazanzibar na kusababisha kuuana kwa kisingizio cha Uchaguzi. Kimewataka viongozi hao kuacha mara moja ...
Kundi lingine linadai Simba kali ni ile ya 1979 iliyopindua meza kibabe katika michuano ya CAF kwa kushinda 5-0 ugenini huko Zambia baada ya awali kulala 4-0 nyumbani. Lakini, kuna wengine wanasema ...
Shambulizi hilo limetokea wakati pande zote mbili hasimu wanamgambo wa Hamas na Israel wakithibitisha kupokea pendekezo jipya kutoka kwa wapatanishi likinuiwa kusitisha mashambulizi wakati wa siku ...
Waasi wa M23 wamekubaliana na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC, juu ya kuondoka kwa vikosi vyake kutoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Waasi wa M23 wamekubaliana na ...
Nenda kwenye ukurasa wa kwanza / Afrika Sudan Kusini: UN yaonya kuhusu kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe Makamu wa kwanza wa rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, ambaye ni hasimu wa muda ...