资讯

Mkurugenzi Mtendaji wa MUWSA Mhandisi Kija Limbe. Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Moshi Mjini imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shafii Kondo (56) mkazi wa mtaa wa Kiusa kwa kosa la kuiba mita za ...
Biashara ya kimataifa inaweza kupungua kwa asilimia 3 kutokana na hatua mpya za ushuru zilizochukuliwa na Marekani ambazo kwa muda mrefu zinaweza kubadili na kuimarisha uhusiano wa kibiashara wa ...
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa Tanzania, Charles Kichere amesema deni la Serikali limeongezeka kufikia Sh97.35 trilioni Juni 30, 2024 kutoka Sh82.25 trilioni ...
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ...
Mmoja wa wawakilishi hao ni Salome Gatakaa Araka ambaye anaanza kwa kueleza ni nini jukumu lao katika harakati za kusongesha malengo ya Maendeleo Endelevu. “Shirika hili linatetea akina mama na ...