资讯

NOTTINGHAM Forest na Newcastle United zote zinapigana vikumbo kwa ajili ya kuipata saini ya mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez, 25, ambaye anadaiwa kuwekwa sokoni ...
NEWCASTLE, ENGLAND: NEWCASTLE United imeshinda taji lake la kwanza kwa msimu huu wa 2024/25 baada ya kuichapa Liverpool 2-1 kwenye fainali ya Kombe la Ligi iliyofanyika uwanjani Wembley, Jumapili.
Szabo anakadiria kuwa zaidi ya washindani 9 kati ya 10 katika Indigo Invitational, ambayo imeadhimisha mwaka wake wa nne mwezi Januari, walifua suruali zao kwa mara ya kwanza baada ya kuvaa mara ...
London, England. Baada ya kuifunga Liverpool mabao 2-1 katika fainali ya Kombe la Carabao, Newcastle United imefanikiwa kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mara ya mwisho ilipobeba taji la Inter ...
Brent Dmitruk anajiita mtabiri wa matetemeko ya ardhi. Mnamo katikati ya Oktoba, alieleza kwa wafuasi wake maelfu kadhaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba tetemeko la ardhi lingepiga sehemu ya ...
Ni katika makundi hayo wanasiasa wanapitia mashambulizi ya kihisia na matusi kwa kukosekana udhibiti wa maudhui, jambo ambalo huwapa baadhi ya wana-kundi uhuru wa kutoa lugha za matusi, kejeli na ...
Kwa WFP nako hali si hali kwani kupitia taarifa yake iliyotolewa leo huko Roma, Italia shirika hilo linaonya kwamba watu milioni 58 katika maeneo 28 yenye majanga duniani wako hatarini kukosa misaada ...