Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na kuzuia waasi hao kuchukua zaidi. Anamshutumu Rais wa Rwanda Paul Kagame ...
Aliyekuwa mkurugenzi wa muziki Damiel Evans anasema jinsi anavyokumbuka vitisho alivyopewa na aliyekuwa mwajiri wake, Sean ''Diddy'' Combs- anayejulikana kama Puff Daddy kwa waliokuwa karibu naye.
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ...
Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), lililokutana leo baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa chama hicho, limemthibitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama. Jana, CHADEMA ...