资讯
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ambao mwaka jana uliripotiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuwa uko hatarini kufisilika, umeimarika. Wakati Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia ...
Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Amend Tanzania, imezindua rasmi awamu ya pili ya kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’, mpango wa kimkakati wa usalama barabarani ...
Simba SC ilipindua matokeo ya kipigo cha 2-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Al Masry kwa ushindi wa 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, na baadaye kushinda kwa mikwaju ya ...
Picha Hamida Shariff, Mwananchi Morogoro. Wauguzi na wakunga nchini wameonywa kupokea fedha au zawadi kutoka kwa wagonjwa au ndugu wa wagonjwa baada ya kuwapa huduma kwani kitendo hicho kinatafsiriwa ...
Kundi lingine linadai Simba kali ni ile ya 1979 iliyopindua meza kibabe katika michuano ya CAF kwa kushinda 5-0 ugenini huko Zambia baada ya awali kulala 4-0 nyumbani. Lakini, kuna wengine wanasema ...
Shambulizi hilo limetokea wakati pande zote mbili hasimu wanamgambo wa Hamas na Israel wakithibitisha kupokea pendekezo jipya kutoka kwa wapatanishi likinuiwa kusitisha mashambulizi wakati wa siku ...
SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba ...
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa Tanzania, Charles Kichere amesema deni la Serikali limeongezeka kufikia Sh97.35 trilioni Juni 30, 2024 kutoka Sh82.25 trilioni ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果