Katika jiji lenye mwendo wa kasi kama London, watu wengi huamka na kuanza siku yao kwa kuoga bila kufikiria sana. Hata hivyo, kwa maelfu ya watu wasio na makazi, kuoga ni anasa isiyopatikana kirahisi.
Kuzuiliwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar kumevunja mkataba wa amani wa 2018 uliomaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka mitano nchini humo, chama chake ...
Hivyo, amewakumbusha wanaotaka ubunge na wabunge waliopo madarakani kuzingatia maadili, huku akitoa rai kwa wajumbe wa CCM, ambao watapiga kura kuchagua mgombea mmoja kati ya watatu ndani ya chama, ...
Hatua hiyo imetajwa kuathiri mfumo wa akili kwa kuzalisha kemikali zisizofaa na kupelekea kuwa na hofu, mashaka na kutokujiamini na kusikia sauti za watu masikioni. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Afya ...