Kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu sasa, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kumekosa utulivu na kushuhudiwa mauaji ya kutisha baina ya vikundi vinavyopingana na Serikali.
Kundi la waasi wa M23 linaendelea kusonga mbele katika maeneo muhimu ya kimkakati mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Umbali kutoka Bukavu mpaka Goma, kwa barabara ni kilometa 193.9. Ni miji mwili, mmoja upo ncha ya Kusini ya Ziwa Kivu na ...
Mapigano kati ya Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) na waasi wa M23 yanaendelea kwa kasi katika mji wa Lubero, ...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma... lakini je, M23 kuiteka Goma pamoja na miji na vijiji vingine katika majimbo y ...
Soma pia: Waasi wa M23 waingia Goma Baadhi ya wanajeshi wa Kongo walijisalimisha kwa vikosi vya ulinzi vya Umoja wa Mataifa baada ya muda wa mwisho wa waasi wa M23, huku wengine wakikimbia kwa ...
Katika machapisho haya tunaona bendera za DRC na Angola. Na pia sauti ya Kike, inayofanana na ya mwanahabari inasikika ikitoa ...
Kundi la M23 ni kundi lenye silaha ambalo lilijitenga na jeshi la Kongo miaka kumi iliyopita kwa madai ya kuwalinda Watutsi ambao kwa muda mrefu walikuwa wakilalamikia mateso na ubaguzi.
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo, kutokana na ...
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imelaani vikali mauaji ya wanajeshi wake yaliyofanywa na kundi la waasi la M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). SADC imetaja ...
DAR ES SALAAM: AZIMIO la kuwaunganishia umeme Waafrika milioni 300 linatarajiwa kusainiwa nchini kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ‘Mission 300’ unaoendelea leo na kesho Januari 28 ...