资讯

Ramani mpya ya Tanzania Ndejembi amesema Tanzania kwa mara ya mwisho ilikuwa na ramani iliyoonyesha kila kitu kilichoko mwaka 1978 na kwa kuwa miji imekuwa na mingine imeongezeka itapatikana mpya.