Mvutano mpya umeibuka kati ya Rais Donald Trump na Vladimir Putin baada ya Trump kusema wazi kuwa amechukizwa na kiongozi huyo wa Urusi. Trump alisesema kuwa ana "hasira kubwa" na "amechukizwa" na ...