Mtoto wa marehemu Naomi Marijani (36), Glacious akiwa amebebea picha ya mama yake, mbele ya jeneza lenye masalia ya mwili, wakati wa mazishi yaliyofanyika katika Kijiji Cha Mbambua, kata ya Lembeni, ...