Maafisa wa chama cha PPRD, chama cha rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila Kabange, wameitishwa mbele ya mahakama za kijeshi.
Idadi ya vifo vya raia kutokana na vurugu nchini Syria kati ya vikosi vya serikali ya mpito na vile vinavyomuunga mkono Rais aliyeng’olewa mamlakani Bashar al-Assad imeripotiwa kuzidi 1,000.
尽管卢旺达已经长时间在刚果(金)东部进行干预,但过去几个月的事件让许多人感到意外。在非洲大湖地区工作的外交官和分析人士中,盛行的看法曾经是卡加梅——其支持M23的行为已被联合国详尽记录——正在利用反叛组织在该地区投射霸权力量。根据这一观点,卡加梅对布 ...
Zaidi ya raia 700 nchini Syria wameripotiwa kufariki katika mapigano kati ya vikosi vya serikali ya mpito na wale wanaomuunga ...
Tangu mwanzoni mwa 2025 kumekuwa na mjadala kuhusu uwezekano wa ushirikiano wa kimkakati kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, Ijumaa iliyopita, aliingia makubaliano ya nne ya “handshake” katika tukio la kihistoria lakini linalozua mjadala, likifanana na ...
Aidha, amekemea vikali tabia ya kubagua watu kwa misingi ya ukabila katika umiliki wa ardhi, akisisitiza kuwa ardhi yote nchini ni ya Watanzania wote na hakuna kabila lolote linalostahili kumiliki ...