Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo mjini Brussels, Ubelgiji kuamua iwapo wanatakiwa kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
Rais wa Marekani Donald Trump amekashifu Umoja wa Ulaya wakati wa hotuba yake kuu ya kwanza kwa hadhira ya kimataifa tangu aanze muhula wake wa pili katika Ikulu ya White House. Katika hotuba ya ...
Vita hivi kati ya Rwanda na DRC vinaleta wasiwasi ndani ya Umoja wa Afrika ... Raila Odinga wa Kenya, alipoulizwa na mwandishi wa habari, alijibu tu: "Sitaki kuzungumzia suala hilo." ...
Licha ya changamoto za kiusalama, mashirika ya Umoja wa Mataifa na walinda amani wameahidi kusalia DRC, huku kukiwa na ongezeko la vifo na majeruhi pamoja na kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza ya MPOX ...
ADDIS ABABA, Ethiopia — Mkutano wa 38 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika umeanza mjini Addis Ababa ... ajenda ya rasimu ya Kikao cha 38 cha kawaida cha Bunge na kujadili ...
ADDIS ABABA, Ethiopia –Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres amesema Afrika inastahili kupata uwakilishi wake wa haki katika taasisi za kimataifa, ikiwemo Baraza la Usalama la Umoja wa ...
Lakini katika mkutano wa Umoja wa Mataifa Uingereza Marekani na Ufaransa ziliilaani Rwanda kwa kuunga mkono hatua hiyo, na baraza la usalama lilitaka kuondolewa kwa vikosi vya nje. Kenya imeitisha ...
Fanoos, taa ya mfano inayowakilisha mwanga, matumaini, na umoja, imekuwa ikisafiri katika nchi mbalimbali, ikionyesha mshikamano miongoni mwa jamii ya Ismaili duniani kote. Kuwasili kwake Tanzania ...
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema kuwa kundi hilo linaungwa mkono na nchi jirani ya Rwanda, ambayo pia inaongozwa na Watutsi, jambo ambalo serikali ya Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara.