Walichapisha utafiti huo mwaka 2021. Chanzo cha picha, Ifremer Asili ina namna yake ya kukumbuka matukio - hasa shughuli za binadamu zinazochafua mazingira, wakati mwingine huonekana kwenye pete ...
MBEYA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mussa Basuka ,30, ambaye ni mchimbaji mdogo na mkazi wa Manyanya wilayani Chunya kwa tuhuma za kumuua rafiki yake Issa Mohamed ,30, kwa kumpiga ngumi ...
Siri ya kuhisi vizuri baada ya usingizi mzuri wa usiku inaweza kuwa katika kuamka. Hapa kuna mbinu tano na vidokezo juu ya jinsi ya kuboresha ... ni pamoja na nyama, samaki, na mayai, wakati ...
Zingatia kutunza na kutengeneza Nywele ziwe za tofauti na ulivyozoea kuweka ili iweze kuweka staili tofauti na kwenye ubora unaotakiwa.Kwanza kabisa unatakiwa kutunza Nywele zako kwa kuosha na ...
Tangu zama za awali mpaka sasa,jamii ya Dunia imekuwa ikipitia maisha ya kila namna yenye uzuri na ubaya wake ndani.Vizazi kadhaa vimepita vya Wanadamu huku vikiridhishana tamaduni mbalimbali ndani ...
Dar es Salaam. Miongoni mwa watu wanaopata wakati mgumu kuacha uraibu ni pamoja na wavutaji wa sigara na shisha. Wavutaji maarufu wa sigara duniani wamewahi kukiri kuwa, wasingethubutu kujiingiza ...
ambaye alikuwa mchimbaji mwenzie wa madini ya dhabu baada ya kutokea mabishano yaliyosababishwa na zamu ya kupika. “Hawa watu walikuwa wanakaa chumba kimoja na tukio hili la mauaji lilitokea Februari ...
elimu ya usimamizi wa fedha kwa watoto imekuwa nyenzo muhimu katika kuwajengea msingi imara wa maisha yao ya baadaye. Wataalamu wa uchumi wanasisitiza kuwa watoto wanapaswa kufundishwa jinsi ya ...
Kimsingi, hata katika mpira wa kikapu nako si salama katika nchi kama Marekani ambako ushabiki wake uko juu sana. Nchini Tanzania, hadi kufika mwanzoni mwaka miaka ya 1990, mpira wa pete na kikapu ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
MANCHESTER, ENGLAND: HAKUNA namna, lazima tubadilike. Ndivyo anavyosema Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, huku akiwataka nyota wenzake kuonyesha kweli wana ujasiri wa ‘kuchezea timu hiyo’ ...