Katika jiji lenye mwendo wa kasi kama London, watu wengi huamka na kuanza siku yao kwa kuoga bila kufikiria sana. Hata hivyo, kwa maelfu ya watu wasio na makazi, kuoga ni anasa isiyopatikana kirahisi.
Hedhi ni changamoto kwa kila mwanamke. Lakini je nini hufanyika ikiwa wanawake watapata hedhi katika anga za mbali? Je, wanakabiliana vipi na suala hili? Nini kingetokea iwapo mwanaanaga mwanamke ...
Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi, mataifa mengi yenye utajiri wa rasilimali za madini yamejikuta yakikabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, kijamii na kisiasa kutokana na utegemezi mkubwa ...