Amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na SMZ zimefanya kazi kubwa kuweka miundombinu, ikiwemo mkongo na juhudi kubwa za kuhakikisha inaunganisha kutoka Dar es Salaam kuja Zanzibar ...